Friday, April 12, 2013

Mkaguzi ataka M-Pesa, TigoPesa, Airtel Money, Easy Pesa zitozwe kodi

Ludovick-UtouhMkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, ameshauri kampuni za simu zinazotoa huduma ya utumaji fedha na kumbi za harusi vitozwe kodi.Sambamba na hilo aliutaka uongozi wa Bunge, kurejesha Kamati ya Ukaguzi wa Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC). Alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kuwasilisha taarifa yake bungeni mjini hapa jana akisema uamuzi wa kufuta kamati hiyo na kazi zake kuunganishwa na Kamati ya ..read more











Tags:

0 Responses to “Mkaguzi ataka M-Pesa, TigoPesa, Airtel Money, Easy Pesa zitozwe kodi”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI