Thursday, April 4, 2013
HEKA HEKA ZA USAFIRI JIJINI DAR BAADA YA SUMATRA KUTANGAZA NAULI MPYA
Thursday, April 4, 2013 by Unknown
Kutokana na umamuzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) kupandisha nauli za usafiri wa mabasi,treni na gharama za bandari zitakazoanza kutumika April 12 mwaka huu, usafiri wa daladala jijini umeanza kuonekana wa shida, hasa nyakati za jioni ,kwani baadhi ya wenye mabasi ya daladala jijini Dar es Salaam wameanza kutumia mwanya huo na kuongeza nauli kinyemela hivyo kusababisha wananchi kutaabika na kusongama katika vituo vya usafiri kama wanavyoonekana baadhi yawananchi katika maeneo mbalimbali jijini ambapo wakisubiri daladala na wengine wakiamua kutembea kwa miguu.PICHA NA MWANAKOMBO JUMAA WA MAELEZOBaadhi ya wanachi katika maeneo ya Jangwani jana wakitembea kwa miguu.baada ya kuona tatizo la kususbiri usafiri .
Baadhi ya wakazi wa jijni wakisubiri usafiri jana katika maeneo ya kituo cha Akiba mtaa wa Bibi Titi.Baadhi ya wakazi jijini Dar es Salaam jana wakisubiri usafiri katika maeneo ya shule ya Sekondari ya Azania.
Tags:
kitaifa
This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “HEKA HEKA ZA USAFIRI JIJINI DAR BAADA YA SUMATRA KUTANGAZA NAULI MPYA ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.