Sunday, April 14, 2013

Picha za Ajali ya Ndege ya Marehemu Wakili Nyaga Mawalla iliyotokea Jana na Kuua Rubani Wake

Taarifa zinasema kuwa ndege hiyo ilikuwa na rubani pekee anayejulikana kwa jina Babu Sambeke, au maarufu kama Bob Sambeke aliyekuwa anatokea West Kilimanjaro.

Maelezo zaidi kuhusu ajali hiyo ni kwamba ndege hiyo ilijaribu kutua baada ya masaa ya kawaida ya kufunga kiwanja(saa 12.30jioni) kupita.





Tags:

0 Responses to “Picha za Ajali ya Ndege ya Marehemu Wakili Nyaga Mawalla iliyotokea Jana na Kuua Rubani Wake”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI