Sunday, April 14, 2013

Kutoka Bungeni: Mbunge aomba Bangi iruhusiwe kulimwa!

Akiuliza swali la nyongeza, Mh. Ali Keisy Mohamed (CCM) amesema tumbaku ina madhara mengi lakini serikali bado inalitambua kama zao la biashara, ameuliza kwanini serikali sasa isipeleke nguvu kwenye bangi kwani kuna sehemu inaruhusiwa
- Naibu Waziri wa kilimo Adam Malima alisema serikali itaangalia uwezekano wa kuihalalisha bangi ili iweze kuliongezea taifa kipato kama ilivyo kwa sigara ingawa ina madhara kiafya

Tags:

0 Responses to “Kutoka Bungeni: Mbunge aomba Bangi iruhusiwe kulimwa!”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI