Saturday, April 6, 2013

Je Mwanamke Kutoka Nyumbani na Kwenda Kupanga Mtaani ni Sahihi



Heshima kwenu wadau,sasa hivi kuna trend kubwa ya wasichana ambao kidogo unakuta wamejaaliwa kupata walau kipato cha kawaida tu na kuamua kutoka nyumbani kwao kwenda kupanga chumba,je hili mnalionajae liko sawa au sio sawa kwa maana m`ke hata kama amejaaliwa kupata kazi basi akae kwao mpk mungu atakapojaalia kumpata mwenza wa halali,nakaribisha mawzo yenu wadau

Tags: ,

0 Responses to “Je Mwanamke Kutoka Nyumbani na Kwenda Kupanga Mtaani ni Sahihi”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI