Friday, April 5, 2013

MKE WA MTU AFUMANIWA GEST AKITOA PENZI KWA RAFIKI WA MUMEWE.....


MKE WA MTU AFUMANIWA GEST AKITOA PENZI KWA RAFIKI WA MUMEWE.....



TIMBWILI la aina yake liliibuka hivi karibuni katika nyumba ya kulala wageni maeneo ya Chalinze Bagamoyo kufuatia mumewe aliyefahamika kwa jina la Abuu kumnasa mkewe akiliwa uroda na rafiki yake wa karibu aliyefahamika kwa jina la Benard Celestin....



Tukio hilo la aibu lilitokea saa 11:00 alfajiri ya tarehe 27 march mwaka huu baada ya mumewe kuweka mitego mikali iliyopelekea kumnasa live mkewe akipewa mambo na rafiki ya mumewe.....


Kabla ya fumanizi hilo, mumewe aliaga anaenda Dar.Mkewe alimsindikiza mpaka stendi huku akiwa na furaha tele.....

Jamaa alishukia njiani na kurudi kinyemela.....Za mwizi arobaini, mida ya saa saba usiku,Gari lenye rangi nyeupe lilitua nyumbani kwa jamaa na kushuhudia mkewe akitoka nje na kupanda ndani ya gari hilo.........

Mumewe pamoja na kundi zima la waandishi wa Udaku-GPL walianza kulifuatilia mpaka walipofanikiwa kumnasa mwanamke huyo na rafiki wa mumewe.....

credit- GPL

Tags:

0 Responses to “MKE WA MTU AFUMANIWA GEST AKITOA PENZI KWA RAFIKI WA MUMEWE.....”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI