Wednesday, April 10, 2013

Sintah"Mimi Sisemi Mengi Mliniomba Nifuatilie Kuhusu Diamond na Irene Uwoya Haya Ndio Majibu Yangu"

Haya Chini ni Maneno ya Sinta
"Sincerely, mmenishangaza na comments zenu kuyaamini magazeti, mengine yameandika hiki ama kile sasa nataka kukwambia si magazeti yote yanaandika ukweli, jana usiku wawili hawa walikuwa tight na kukumbatiana century cinemax na lile baridi kama nawaona.

Mimi sisemi mengi mliniomba nifuatilie na haya ndiyo majibu,,,, Diamond na Irene si wapenzi

I do the seeking and you do the judging" Sintah

Tags: ,

0 Responses to “Sintah"Mimi Sisemi Mengi Mliniomba Nifuatilie Kuhusu Diamond na Irene Uwoya Haya Ndio Majibu Yangu"”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI