Thursday, April 11, 2013

Sipati Hamu Japo Napenda Ngono, Nitafikaje kileleni?



Poleni na kazi, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25, na nimechumbiwa. Tatizo langu ni kwamba sijawahi kujisikia hamu ya kufanya mapenzi na wala huwa sitamani kufanya ngono, lakini huwa napenda kufanya mapenzi japokuwa hamu haipo kabisa na hivyo huwa naumia kwani kufanya mapenzi bila ya kuridhika na wala kusikia raha ni kazi

Wakati mwingine huwa najutia kitendo nilichokifanya yaani najuta kufanya mpenzi, Nifanyeje ili na mimi niweze kufika kileleni kwani wasichana wengine wanasema wanasikia raha sana...Naomba mawazo yenu...
My e-mail...Rachel2020@gmail.com

Tags:

0 Responses to “Sipati Hamu Japo Napenda Ngono, Nitafikaje kileleni?”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI