Thursday, April 11, 2013

Staa wa Bongo Asiyejali Unachomfikiria wala Kusema Kuhusu yeye



Hahaaa wacha nianze tu kwa kucheka, maana nilikua nimekaa tu nikawaza makelele ambayo huwa nayasikia juu ya mastar wetu wa bongo, mara hiki mara kile,kupitia magazeti yetu pendwa, radio na television, nikajiuliza licha ya kuwepo na kelele hizo wanaopigiwa kelele wanajali au yanaingilia sikio moja na kutokea lingine?.
kama wapo wasiojali chochote unachowafikiria wala kuwasema ni akina nani hao...swali likatupiwa facebook, na comments zimefika zaidi ya 500, baada ya kuzipitia nikakutana na jina la Wema likiwa limejirudia mara kibao na kumfanya kuwa namba moja kwa wale wasiojali vyovyote utakavyomfikiria wala kumsema akiwa na asilimia takriban 80 ya coments zote.

majina mengine yaliyoonekana kujitokeza ni pamoja na Elizabeth Michael (lulu) na PHD Hemedi, jina lililonifurahisha sana kuliona ingawa sikutegemea ni pale mmoja alipocomment na kutaja Tanesco.

Tags: ,

0 Responses to “Staa wa Bongo Asiyejali Unachomfikiria wala Kusema Kuhusu yeye”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI