Thursday, April 4, 2013

ZIARA YA WASANII RICH MAVOKO&BARNABA KATIKA CHUO CHA UADISHI WA HABARI DAR ES SALAAM


Kushoto Barnaba akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za serikali ya wanafunzi Dar es salaam School of Journalism DSJ {DASJOSO}.

Rich Mavoko akisaini kitabu cha wageni

Rais wa serikali ya wanafunzi DSJ {DASJOSO} akifafanua jambo kuhusu ''DSJ WELCOME BASH'' kwa wageni Rich Mavoko&Barnaba.

Wageni Rich Mavoko&Barnaba wakisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya serikali ya wanafunzi [DASJOSO] chuoni hapo.



Wageni Rich Mavoko&Barnaba wakiangalia tangazo la ''DSJ WELCOME BASH'' kwenye ubao wa matangazo chuoni hapo.

Rais wa serikali ya wanafunzi Dar es salaam school of Journalism DSJ akifafanua ndani ya studio jambo kwa wageni Rich Mavoko&Barnaba.

Rich mavoko akisikiliza jambo kutoka kwa producer wa DSJ Redio 106.9Mhz Dj magasha hayupo pichani.

Rich Mavoko&Barnaba wakiwa ndani ya studio za DSJ Redio 106.9Mhz

Producer wa DSJ Redio 106.9Mhz Magasha Mathew akiwa na Barnaba boy a.k.a baba Steve.

Mmiliki wa blog hii Jose M'bongo a.k.a mzee wa code akiwa na Rich Mavoko a.k.a mtoto wa mama Richard.

Kutoka kushoto Rich mavoko,Barnaba,rais wa serikali ya wanafunzi DSJ bwana Gerald Ochali na makamu wa rais Zynab Nyamka wakiwa kwenye kikao cha kutambulisha baraza la mawaziri {hawapo pichani}

Wageni Rich mavoko&Barnaba wakifuatilia shoo iliyotolewa na washiriki wa shindano la kumtafuta Mr&Mrs Dar es salaam School of Journalism[DSJ].

Washiriki wa Mrs&Mr DSJ wakiingia kutoa shoo mbele ya wageni {Rich Mavoko&Barnaba} kwenye kambi yao iliyopo Simple Hotel Ilala shariff shamba.

Washiriki wa shindano la kumtafuta Mr&Mrs Dar es salaam school of journalism {DSJ}wakionyesha shoo mbele ya wageni Barnaba na Rich mavoko {hawapo pichani} kwenye kambi yao iliyopo Simple Hotel mitaa ya sharifu shamba Ilala.

Tags:

0 Responses to “ZIARA YA WASANII RICH MAVOKO&BARNABA KATIKA CHUO CHA UADISHI WA HABARI DAR ES SALAAM”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI