Sunday, May 5, 2013

BREAKING NEWZZZZZ : MAJAMBAZI YAPORA NA KUUA DAR!!

Majambazi yapora mama mmoja kiasi cha shilingi milioni kumi muda mchache uliopita na kutokomea kusikojulikana. Tukio hilo limetokea leo saa 5:16 jioni inavyosemekana mdada huyo alikua akitoka benki ya CRDB tawi la

Uhuru ambapo majambazi yakiwa na pikipiki yalikua yakimfuatilia, alipotoka tu wakaligonga gari lake makusudi ndipo dada huyo

aliposimama ili angaalie nani kagonga gari yake ambapo jambazi mmoja alishuka na kumpiga risasi ya kifuani na kutokomea na kiasi hicho cha pesa. Mpaka tunaingia mitamboni hakuna habari yoyote ya kukamatwa kwa wahalifu hao.na blog ya wananchi\
credit-bongoclan

Tags:

0 Responses to “BREAKING NEWZZZZZ : MAJAMBAZI YAPORA NA KUUA DAR!! ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI