Sunday, May 5, 2013
Je wajua kwanini tunawaomba msamaha wapenzi wetu?
Sunday, May 5, 2013 by Unknown
MAMBO FULANI MUHIMU
Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam
NATUMIA muda huu kuwapongeza waandishi wa Habari duniani kote, hususan wa Tanzania, baada ya jana kusherehekea Siku ya Maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari.
Picha hii ni ishara mbaya kwenye uhusiano wa kimapenzi.
Ni jambo la jema kwa kuwapo watu hawa, maana wamekuwa wakifanya mengi yanayopelekea faida kwa jamii nzima. Bila vyombo vya habari, jamii isingejitambua kwa namna moja ama nyingine.
Bila vyombo vya habari na waandishi wao kwa ujumla, hata uchumi katika kila nchi usingeweza kukua. Bila waandishi wa habari, Dunia ingeendelea kubaki katika mfumo wa zamani, kiasi cha kushindwa kujua Tanga, Arusha na mikoa mingine kunaendelea na kitu gani.

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “Je wajua kwanini tunawaomba msamaha wapenzi wetu? ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.