Monday, May 6, 2013

NAY WA MITEGO AFANANISHWA NA DEM....CHID BENZ AMTUNGIA JINA NA KUMUITA " NEEMA WA MITEGO"





Ugomvi wa chini chini kati ya Chid benz na Ney wa mitego sasa umefikia pabaya.....


Juzi Ney wa mitego alionja kichapo toka kwa mashabiki katika show yake mbagala....Inadaiwa kwamba Varangati hilo lilitokana na madai yake kwamba Chid benz ni shoga na ametoboa pua kama dem.... 


Mapema mchana huu Chidi Benz amefunguka kupitia ukurasa wake ya Facebook na kumtaka NEEMA WA MITEGO(Neema ni jina la kike ) aache kumtukana wala kumwandika message zozote.....Vinginevyo ataendelea kuambulia kichapo


Hii ni post yake

Tags:

0 Responses to “NAY WA MITEGO AFANANISHWA NA DEM....CHID BENZ AMTUNGIA JINA NA KUMUITA " NEEMA WA MITEGO" ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI