Tuesday, May 7, 2013
RAIS KIKWETE AOMBEA AMANI NA MAASKOFU, ATEMBELEA WAFIWA NA MAJERUHI WA BOMU ARUSHA
Tuesday, May 7, 2013 by Unknown
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mke wake Mama Salma Kikwete wanajiunga na maaskofu wa makanisa mbalimbali katika kuombea amani Tanzania alipokwenda nyumbani kwa Askofu Mkuu wa Katoliki Jimbo la Arusha Archbishop Josephat Lebulu (mwenye kanzu nyeupe) kabla ya kwenda kuhani misiba ya watu watatu waliofariki katika mlipuko wa bomu jijini humo Jumapili iliyopita. Pia alitembelea majeruhi waliolazwa katika hospitali ya Mtakatifu Elizabeth na ya Mount Meru ambako aliwapa pole majeruhi 31 kati ya 64 waliolazwa hadi sasa.
Michuzi Blog
Tags:
kitaifa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “RAIS KIKWETE AOMBEA AMANI NA MAASKOFU, ATEMBELEA WAFIWA NA MAJERUHI WA BOMU ARUSHA ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.