Saturday, June 15, 2013

Aibu:Wanafunzi Wa Chuo Mtwara Wafanya Party Ya Kifuska Pub







Ndani ya pub hiyo, madenti hao walianza kwa staili ya kupiga pombe kabla ya michezo ya kifusika kuanza...

Pombe ilipowakolea, madenti hao waligawana, kila mtu mtu na wake na kuanza kubadilishana mate na michezo mingine ya michafu...
Hali hiyo ilizua taflani kubwa kwa wananchi waliokuwa eneo hilo huku wengine wakionekana kutoamini macho yao kwa vitendo vilivyokuwa vikitendwa na madenti hao..




TOA MAONI YAKO HAPA

Tags:

0 Responses to “Aibu:Wanafunzi Wa Chuo Mtwara Wafanya Party Ya Kifuska Pub ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI