Saturday, June 15, 2013

Onja ::Shamim Mwasha Aka Blogger' zeze' Ateuliwa Kuwa Balozi Wa Oxfam Tanzania


Jana Mimi Pamoja Na Wenzangu Saba (7) Tumeteuliwa Kuwa Mabalozi Wa Kampeni Ya Grow Inayoendeshwa Na Shirika Lisilo  La Kiserikali La Oxfam
shamimbalozioxfamtza
Nilikuwa Na Machache Ya Kusema….Kuna Hadi Video You Tube, Nitawawekea Hapa Hapa…Ili Nanyi Muungane Nami, Tulipe Chakula Ndo Maisha Yenu
shamim balozi oxfam
   Nikikabidhiwa Tuzo, Na Mkurugenzi Wa Idara Ya Uhakika Wa Chakula Wizara Ya Kilimo Ndugu,Karim Mtambo
mabalozioxfamtanzania
Nikiwa Na Mabalozi Wenzangu Kutokea Kushoto  Masoud Ally ‘Kipanya’,Dina Marios,Mgeni Rasmi  Ambaye Ni (Mkurugenzi Wa Idara Ya Uhakika Wa Chakula Wizara Ya Kilimo Ndugu),Karim Mtambo,,Da,Khadija Mwanamboka,,Jacob Steven,Na Mimi
.(Mabalozi Wengine Ni Mheshimiwa Halima  Mdee Na Shyrose Banji)
Picha Na Habari Zaidi Zaja, Usibonyeze Kidude!!
Kuijua Kampeni Pitia Humu Growtanzania

via 8020blog

Tags: ,

0 Responses to “Onja ::Shamim Mwasha Aka Blogger' zeze' Ateuliwa Kuwa Balozi Wa Oxfam Tanzania”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI