Home
» celebrities
» HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE MSANII WA BONGO MOVIE KASH AFARIKI DUNIA MUDA HUU
Monday, June 10, 2013
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE MSANII WA BONGO MOVIE KASH AFARIKI DUNIA MUDA HUU
Monday, June 10, 2013 by Unknown
Habari iliyotufikia hivi punde ni kwamba msanii wa filamu nchini Jaji Khamis (Kashi)aliyewahi kutamba na michezo ya ITV enzi zile akiwa na wasanii kama mzee masinde,samson na wengine katika mchezo wa Tamu chungu na mingine mingi Amefariki dunia mchana huu katika hosptali ya taifa ya muhimbili alikokuwa amelazwa,akizungumza na the super stars tz raisi wa shirikisho la wasanii amesema kuwa tasnia yake bado inaendelea kukumbwa na majanga lakini amedai yote ni kazi ya mungu
Nae mzee masinde ambaye alikuwa nae katika kundi moja akiwa kama kiongozi wake amesema kashi ni msanii ambaye alikuwa mpiganaji na kwa hakika ni pigo kubwa katika tasnia yetu
Mungu ailaze roho ya marehemu Jaji Khamis (Kashi)
mahali pema peponi Amini.
SOURCE: http://thesuperstarstz.blogspot.com/
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Tags:
celebrities

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE MSANII WA BONGO MOVIE KASH AFARIKI DUNIA MUDA HUU ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.