Wednesday, June 19, 2013
Kutamani Kungonoka Kila Dakika, Je Huu Ni Ugonjwa?
Wednesday, June 19, 2013 by Unknown
Mimi ni msichana na ninaomba mnisaidie kwani ninasumbuliwa sana na Ashki za kujaamiana kila muda.
Tatizo hili lilinianza takribani miaka kama 3 iliyopita baada ya kutumia vidonge vya kupunguza unene.
Dawa hizo nilizinunua toka kwa rafiki yangu mmoja ambae aliniambia alitumiwa na kaka yake aliyekuwa Thailand.
Vina rangi ya kijani kibichi na muundo wake ni kama kidonge cha Ampicilin. Ni kwamba vilinisaidia kwani nilipungua ila sasa ukaibuka ugonjwa huu.
Naomba mwenye kufahamu tiba anisaidie kwa maana naadhirika mjini hapa....Yaani kila saa mimi huku chini nanyevuka hata nisiposhikwa...
Please nipe ushauri ...
Joan SekioniTOA MAONI YAKO HAPA
Tags:
mapenzi ,
udaku
This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Kutamani Kungonoka Kila Dakika, Je Huu Ni Ugonjwa?”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.