Wednesday, June 26, 2013
MADADA MSIFIKIRI WANAUME HATUNA MAJUKUMU
Wednesday, June 26, 2013 by Unknown
Kwa nn hawa dada zetu ukianza nao uhusiano uwa wanamgeuza mwanaume ndo kila kitu yan ndo kama wazaz wake mana atataka umlishe,umnunulie vitu kama nguo za ndan na umlipie ada,how come majukumu ya wazaz wako yawe yangu?ina maana mimi sina ndg wa kuwajal mpaka nikuangaikie wewe.Mnaboa sana masista due njaa mana mtu akikuambia hana kitu unamchukia na akikuambia kwan mwanzon kabla hujawa na mm ilikuaje?anasema usinione kama nna dhiki sana ila kwa hali ilivo ni kama una dhiki
Mnafanya wanaume tusione thaman ya hela yetu na tuone thaman ya kukupendezesha wewe wakat tuna ndugu na jamaa wana shida na tuna wajibu wa kuwasaidia.
Samahan kama nimekukwaza ila nimeongea uhalisia na vitu ambavyo vmentokea na imeniuma sana mana mdada anasema simpend kwa sabab nimeshndwa kumtimizia mahitaj yake na nimemjibu kama mapenz ni hayo then mimi sipo tayari na huko huru kufanya uamuz unaotaka na analaum kua nimemuharibia maisha.
Source:Jamii forums
TOA MAONI YAKO HAPA
Tags:
mapenzi ,
udaku
This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MADADA MSIFIKIRI WANAUME HATUNA MAJUKUMU ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.