Home
» kimataifa
» MAMIA NCHINI AFRIKA KUSINI WAJITOKEZA KUPINGA KUJA KWA RAISI OBAMA WAKATI ALIPOTUA JIONI YA LEO KATIKA JIJI LA PRETORIA.
Friday, June 28, 2013
MAMIA NCHINI AFRIKA KUSINI WAJITOKEZA KUPINGA KUJA KWA RAISI OBAMA WAKATI ALIPOTUA JIONI YA LEO KATIKA JIJI LA PRETORIA.
Friday, June 28, 2013 by Unknown
Waandamaji Nchini Afrika Kusini wakiwa wamebeba mabango yanayopinga kuja Kwa Raisi Obama nchini Humo wakati wa maandamano ya Amani ya Kupinga Kuja Kwa Obama Katika Jiji la Pretoria Nchini Afrika Jioni ya leo wakati Raisi Obama alipotua Katika Jiji Hilo
Waandamaji Nchini Afrika Kusini Wakisali mbele ya Bango linalopinga Kuja kwa Raisi Obama Nchini Humo wakati Raisi Obama alipotua Nchini Afrika Kusini
Waandamaji wa Nchini Afrika Kusini wakiwa wanasali mbele ya Ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano ya kupinga kuja kwa Raisi Obama Nchini Humo Mapema leo wakati Raisi Obama alipotua Nchini Humo Kwa Ziara ya Siku 2 ametokea Nchini Senegali na Kutua Nchini Afrika Kusini huku Akihitisha Ziara Yake Nchini Tanzania wiki ijayo.
Mmoja wa waandamaji nchini Afrika Kusini ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja akiwa amebeba moja ya Bango ambalo Linamwita Raisi OBAMA kuwa ni Mpishi wa Ikulu ya Marekani kama linavyosomekana na kuendelea kuelezea kuwa sera za Marekani ni tatizo.Mwandamaji huyu amebeba bango leo Juni 28 wakati wa maandamo ya amani kuelekea mbele ya Ubalozi wa Marekani NChini humo kwa kupinga Kuja Kwa OBAMA Nchini Mwao.
NA JESTINA GORGE BLOG
Tags:
kimataifa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “MAMIA NCHINI AFRIKA KUSINI WAJITOKEZA KUPINGA KUJA KWA RAISI OBAMA WAKATI ALIPOTUA JIONI YA LEO KATIKA JIJI LA PRETORIA.”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.