Sunday, June 30, 2013

MWANAUME AKATWA MAPANGA AKIDAIWA KUCHUKUA MKE WA MTU HUKO TABORA



Ramadhani Mahanga ambaye amenusurika kuuawa baada ya kukatwakatwa mapanga na kijana mwenzake anayefahamika kwa jina la Juma Hamisi ambaye alidai anatembea na mkewe na hivyo kuchukua uamuzi wa kutaka kumuua katika kijiji cha Isenga manispaa ya Tabora.
Baba wa kijana Juma Hamisi ambaye anadaiwa kumkatakata mapanga Ramadhani Mahanga akiwa amekwenda kumjulia hali katika Hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete ambako amelazwa kwa ajili ya matibabu.

NA KAPIPIJ

Tags: ,

0 Responses to “MWANAUME AKATWA MAPANGA AKIDAIWA KUCHUKUA MKE WA MTU HUKO TABORA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI