Friday, June 14, 2013

Nani Kufunika Show Usiku Wa Leo? Hapa Lady Jaydee Kule Mwana F.A :



Wale waliokuwa marafiki wakubwa leo wamegeuka kuwa maadui wakubwa, kila mmoja kwa wakati wake leo anafanya show yake kubwa katika kumbi tofauti. lady jaydee na miaka 13 katika fun na mwana f.a THE FINEST Swali ni moja tu? je nani ataimbia viti? kila mmoja anasema amekwisha maliza tiketi zake.muda unakaribia haya sasa twendeni tukajionee wenyewe kwa macho yetu.

Tags:

0 Responses to “Nani Kufunika Show Usiku Wa Leo? Hapa Lady Jaydee Kule Mwana F.A : ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI