Saturday, June 15, 2013

show ya Lady Jay Dee Kutimiza Miaka 13 ya Muziki ndani ya kiota cha Nyumbani Lounge jijini Dar




Mwanamuziki Jady Jay Dee akionyesha umahiri wake wa kulishambilia jukwaa wakati wa show yake ya kutimiza miaka 13 katika Muziki iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Nyumbani Lounge,Namanga jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wadau mbali mbali.
Ilikuwa ni shangwe tupu wakati wa show hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh. Joseph Mbilinyi akiwa stejini kutoa burudani mbele ya Mashabiki Lukuki waliofika Nyumbani Lounge kuona show ya Miaka 13 wa Mwanamuziki Lady Jay Dee.

KUONA PICHA ZAIDI

Tags:

0 Responses to “show ya Lady Jay Dee Kutimiza Miaka 13 ya Muziki ndani ya kiota cha Nyumbani Lounge jijini Dar ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI