Saturday, June 15, 2013

Matusi Kwa Mangwea T.Id Amuahidi Ommy Dimpoz Kumchapa Makonde Kama Mtoto



Hawa watoto wadogo wanakuja na kandambili kuomba kuimba sasa hivi wanajifanya wao wanazo hela sana na kututusi sisi especially mkali wangu Albert wallahi mungu 
atamlaani.........mshenzi mkubwa na nikikuona nakupiga.
"Hicho ndicho alochokiandika TID aka mnyama kwenye kupitia ukurasa wake wa facebook"TOA MAONI YAKO HAPA

Tags:

0 Responses to “Matusi Kwa Mangwea T.Id Amuahidi Ommy Dimpoz Kumchapa Makonde Kama Mtoto ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI