Home
» celebrities
» Show Ya Mwana Fa Ameambulia Patupu.... Wajitokeza Watu Wachache-Tazama Picha Na Video Hapa
Saturday, June 15, 2013
Show Ya Mwana Fa Ameambulia Patupu.... Wajitokeza Watu Wachache-Tazama Picha Na Video Hapa
Saturday, June 15, 2013 by Unknown
Nilikua narudi mjini nikitokea Kigamboni kupumzisha akili. Sasa nikapita pale opposite na iFM kucheki kama Mwana FA kala shavu. FA katia huruma sana. Yaani mlangoni kulikuwa na wanafunzi wachache wa IFM ambao walikua wakiingia kwa bei ya kandambili. Jamaa wa mlangoni walikua wakiwabembeleza watu wachukue tickets japo kwa 10,000/= lakini madent wa IFM walikomaa mpaka kwa 5,000/- kwamba boom limekata... Mdau
Dully Sykes Na Mwana FA Katika Usiku Wa The Finest Kama Zamani @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam.
Linah, Mwana FA Na Maua On Stage @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam.
Wahudhuriaji wa "The Finest" Kama Zamani wakiwa wanaenjoy burudani classic kutoka kwa Mwana FA.
Vanessa Mdee na Dozen katika viwanja vya Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam kabla ya "The Finest" Kama Zamani Show.
Asma Makau, Jojo, Shadee & A Friend Wakiwa Nje Ya Ukumbi Wa Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam Wakiingia ndani kwa ajili ya "The Finest" Kama Zamani Ijumaa 14/6/2013.
Angalia Video Hapa:

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “Show Ya Mwana Fa Ameambulia Patupu.... Wajitokeza Watu Wachache-Tazama Picha Na Video Hapa ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.