Home
» burudani
» Picha: Angalia Show Ya Jaydee Ilivyofurika ile mbayaa Watu Ndani Ya Nyumbani Lounge..!!
Saturday, June 15, 2013
Picha: Angalia Show Ya Jaydee Ilivyofurika ile mbayaa Watu Ndani Ya Nyumbani Lounge..!!
Saturday, June 15, 2013 by Unknown
Hivi ndivyo hali ilivyo ndani ya Ukumbi huu wa Nyumbani Lounge,Namanga jijini Dar es Salaam ambapo leo hii kuna bonge moja la show la Mwanadada mkongwe kwenye tasnia ya muziki hapa nchini,Lady Jay Dee ambaye anatimiza miaka 13 tangu alipoanza kazi yake ya muziki.katika show hii wanamuziki mbali mbali watapanda jukwaani aliwepo Mh. Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu.

Wadau mbali mbali wa muziki hapa nchini wapo ndani ya ukumbi huu hivi sasa kusuhudia show hii ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa muziki.

Ndani ni nyomi la hatari,lakini nje nako watu bado wanataka kuingia huku wengi wao wakisema kuwa "hata kama hakuna siti,sie tuko radhi kusimama ilimradi tumsapoti Dada yetu.

Getini mambo yako namna hii.


Foleni bado ni ndefu na watu bado wanazidi kuingia ukumbini hapa hivi sasa.

Burudani ya Utangulizi ikiendelea.
Show inaendelea na ni shangwe tupu ndani ya ukumbi huu wa Nyumbani Lounge,Mh. Sugu amemaliza kutoa burudani muda mfipi uliopita na sasa ni zamu ya TMK Halisi chini yake Kibla Juma Nature.
TOA MAONI YAKO HAPA
Tags:
burudani

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “Picha: Angalia Show Ya Jaydee Ilivyofurika ile mbayaa Watu Ndani Ya Nyumbani Lounge..!!”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.