Sunday, June 16, 2013
Watanzania Tunaelekea Wapi-Picha Za Nassari Akiwa Hoi Baada Ya Kuumizwa Vibaya
Sunday, June 16, 2013 by Unknown
Hali si shwari katika uchaguzi mdogo wa Makuyuni, CCM wamevamia vituo vya kura, mawakala wa CHADEMA wamepigwa vibaya sana.
Kamanda Nassari naye kaumizwa vibaya sana. Amelazwa Hospitali ya Waseliani
Jamani watanzania tunaelekea wapi kwa hali hii?
Ee Mungu utusaidie sisi wanao!
TOA MAONI YAKO HAPA
Tags:
kitaifa ,
siasa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 Responses to “Watanzania Tunaelekea Wapi-Picha Za Nassari Akiwa Hoi Baada Ya Kuumizwa Vibaya”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.