Sunday, June 16, 2013
Zijue Dalili Kuu Za Mwanamke Anapotaka Kufika Kileleni
Sunday, June 16, 2013 by Unknown
Siku zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama
kuridhishana hususan katika tendo la ndoa, ukweli uliopo ni rahisi sana kwa
mwanaume kuwahi kufika kileleni kuliko mwanamke hii inatokana na sababu nyingi
kwa upande wa mwanaume suala la kuwahi kumaliza mapema linaweza kusababishwa na
tatizo la nguvu za kiume na kukurupuka katika tendo kwa maana ya kuwahi
kumuingilia mwanamke bila kufanya Romans/maandalizi ya kwanza kabla ya tendo na
kwa upande wa wanawake suala la kuchelewa kufika kileleni ni asili yao kutokana
na jinsi walivyoumbwa ila napenda ifahamike kuwa pamoja na wanawake kuumbwa
hivi ila
unauwezo wa kumfanya afike kileleni mapema kwa kuzingatia maandalizi
ya awali kabla ya tendo inabidi utumie muda mwingi katika kumuandaa mpenzi wako
kwa kumtomasa sehemu husika ili iwe njia rahisi ya wewe kumridhisha na kumfanya
afike katika kilele cha raha.

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “Zijue Dalili Kuu Za Mwanamke Anapotaka Kufika Kileleni ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.