Friday, July 19, 2013

BASI LA KAMPUNI YA NAJMUNISA LAPATA AJALI DODOMA LAUA WANNE.


Picha na Maktaba
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi la Najmunisa linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza limepata ajali eneo la Mbande mkoani Dodoma na kuua watu wanne na kujeruhi abiria kadhaa. Basi hilo lililokuwa linaelekea Mwanza lilipata ajali hiyo baada ya kupasuka tairi la mbele. Mashuhuda wa tukio hilo wanadai kuwa mali zote za abiria ziko salama kutokana na uwepo wa Check Point ya polisi jirani na eneo la ajali.

Chanzo: Radio One

Tags:

0 Responses to “BASI LA KAMPUNI YA NAJMUNISA LAPATA AJALI DODOMA LAUA WANNE.”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI