Friday, July 19, 2013

MPENZI WA MSANII MABESTE AMEJIFUNGUA, SASA MABESTE ANAITWA BABA


Katika majira ya saa moja jioni maeneo ya Mbezi Beach katika hosp ya MASANA mchumba wa msanii wa hip hop nchini Mabeste amejifungua mtoto wa kiume. Ni furaha sana aliyonayo Mabeste now na mungu ni mkubwa kwa kila jambo. Mungu awajalie maisha mapya wanayoyaanza kwa sasa na wamlee mtoto wao kwa amani na furaha tele

Tags:

0 Responses to “MPENZI WA MSANII MABESTE AMEJIFUNGUA, SASA MABESTE ANAITWA BABA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI