Monday, July 1, 2013

BRAZIL NI NOMA WAMFANYA VIBAYA SPAIN NA KUTWAA KOMBE LA MABARA



Timu ya Taifa ya Brazil usiku wa saa 8 kuelekea sas 9 kwa saa za Afrika Mashariki waliweza kuwafunga Mabingwa wa Dunia na Mabigwa wa Ulaya timu ya Taifa ya Spain jumla ya Magoli 3-0 katika mchezo wa fainali ya kombe la Mabara na hivyo kuitimisha rekodi ya Spain ya kutofungwa mara 29 katika michezo ya ushindani.

Waliopeleka kilio cha Magoli kunako timu ya Spain walikuwa ni Fred aliefunga Magoli mawili huku lingine likitiwa nyavuni na Mchezaji anaekuja juu kwa sasa Neymar.

TOA MAONI YAKO HAPA

Tags:

0 Responses to “BRAZIL NI NOMA WAMFANYA VIBAYA SPAIN NA KUTWAA KOMBE LA MABARA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI