Monday, July 1, 2013

DENTI WA KIKE APEWA KICHAPO CHA MBWA MWITU BAADA YA WAZAZI WAKE KUMNASA AKIWA GEST HOUSE NA MPENZI WAKE


Mwanafunzi mmoja amefumaniwa katika nyumba moja ya wageni (guest house) hapo jana, tarehe 29/6/2013 majira ya saa nane mchana katika eneo la Yombo Vituka jijini Dar es salaam. Hata hivyo mfumaniwa mwenzake ( mwanaume ) hajakamatwa kwani aliponyoka na kukimbia. 

Wazazi wakimpiga binti yao kwa uchungu na hasira mara baada ya fumanizi.
TOA MAONI YAKO HAPA

Tags: ,

0 Responses to “DENTI WA KIKE APEWA KICHAPO CHA MBWA MWITU BAADA YA WAZAZI WAKE KUMNASA AKIWA GEST HOUSE NA MPENZI WAKE ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI