Monday, July 1, 2013

JE WEWE NI MWANAUME MFUPI NA UNATESWA NA MAPENZI KWA SABABU YA UFUPI WAKO ? DAWA HII HAPA



Kama wewe ni Mwanaume halafu ni mfupi kama kashata na bahati mbaya udongo uliishia katikati mapema wakati sura yako inatengenezwa,na hela ya kuhonga huna....Naelewa mateso unayoyapata mtaani maana kila msichana unayejitoa kumpenda kwa moyo na dhati anasema hawezi kuwa na wewe kisa we mfupi anaogopa kuchafua Ukoo na mbegu mbovu...Cha ajabu msichana huyohuyo after few days unakutana nae kakumbatiwa pale KFC na kijamaa kina mapengo kifupiii ila kina Vogue pembeni mdada anambusu hadharani...Usilie.Tafuta hela tu.Hawa viumbe ukiwa na hela tu wanakuona mrefu,utapendwa mpaka ujihisi unatembelea nyota ya Diamond.

Money is the most handsome man on the Planet,if you have him he makes u handsome too

TOA MAONI YAKO HAPA

Tags: ,

0 Responses to “JE WEWE NI MWANAUME MFUPI NA UNATESWA NA MAPENZI KWA SABABU YA UFUPI WAKO ? DAWA HII HAPA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI