Friday, July 19, 2013

HII NDIO VIDEO YA DIAMOND ALIPOWAPAGAWISHA UMATI WA WATU JIJINI MWANZA...!!



Hii ni video moja wapo ya show ambayo ali perform jijini mwanza na team ya wasafi jukwaani lakini kutokana na umati wa watu ulivofurika na kushamili,ghafla ule umati ulikusanyika na watu kuanza kusukumana hadikusababisha mamia ya mashabiki kuzimia hata watoto kuzidiwa nguvu....Hali ile ilinihuzunisha sana na kufikia hadi mimi kushindwa kuendelea na show kutokana na hali ile kuzidi kuwa kubwa eneo lile....Ililazimika polisi kuingilia kati na kuweka hali ya usalama eneo lile.....Kiukweli tulishindwa endelea na show na kuishia kuimba Nyimbo moja ya Nimpende nani tu na baada ya hapo... more »

Tags:

0 Responses to “HII NDIO VIDEO YA DIAMOND ALIPOWAPAGAWISHA UMATI WA WATU JIJINI MWANZA...!! ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI