Friday, July 19, 2013

HUU NDO UGONJWA AMBAO HUMPELEKA WOLPER SOUTH KUTIBIWA, HIKI NDO ALICHOKISEMA. SOMA HAPA







*STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper ameeleza kuwa, tatizo alilonalo la presha ya kushuka huenda siku moja likawa chanzo cha kifo chake kwani linapomjia, huwa katika hali mbaya sana.* * Akizungumza hivi karibuni Wolper alisema, tatizo hilo amekuwa nalo kwa muda mrefu na kufikia hatua ya kwenda kutibiwa nchini Afrika Kusini likapungua lakini sasa limerejea na linamkosesha amani.* * “Kwa kweli hili tatizo la presha ya kushuka nililonalo ipo siku litaniondoa duniani, unajua wakati mwingine hali hiyo ... more »

Tags:

0 Responses to “HUU NDO UGONJWA AMBAO HUMPELEKA WOLPER SOUTH KUTIBIWA, HIKI NDO ALICHOKISEMA. SOMA HAPA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI