Thursday, July 4, 2013
MFANYABIASHARA AWAGONGA NA GARI WATU 6.....KISA NI WIVU WA MAPENZI
Thursday, July 4, 2013 by Unknown
Watu sita wamejeruhiwa vibaya ikiwemo kuvunjika baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili huku mmoja wao akiwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika hospitali ya taifa ya Muhimbili baada mfanyabiashara kuwagonga kwa gari huko Bahari beach.
ITV CHANZO.

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “MFANYABIASHARA AWAGONGA NA GARI WATU 6.....KISA NI WIVU WA MAPENZI ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.