Monday, July 15, 2013
Nelson Mandela kuruhusiwa kurudi nyumbani siku chache zijazo
Monday, July 15, 2013 by Unknown
Kwa mujibu wa Rais wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki, Nelson Mandela ataruhusiwa kurejea nyumbani na kuendelea na matibabu huko siku si nyingi.
‘Nina uhakika kuwa moja ya siku hizi Madiba (Mandela) atarejea nyumbani’ alisema Mbeki weekend hii.
Aliongeza: ‘Moja ya siku hizi, madaktari watakubali kuwa anaweza kwenda kukaa nyumbani kuliko.’
Mke wa Mandela, Graça Machel naye alisema kwa sasa hana wasiwasi tena na hali ya mumewe.
‘He continues to respond positively to treatment. I would say that today I am less anxious than I was a week ago,’ alisema.
Rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini amelazwa kwa zaidi ya wiki tano kutokana na kuwa na maambukizi kwenye mapafu.
Marafiki waliokwenda kumsalimia wanasema yupo kwenye mashine maalum ya kumsaidia kuishi lakini taarifa rasmi za hivi karibuni zinasema yupo kwenye hali nzuri.
Tags:
kimataifa
This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ Nelson Mandela kuruhusiwa kurudi nyumbani siku chache zijazo”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.