Monday, August 5, 2013
"NINA JINSIA MBILI, NATAFUTA MPENZI WA JINSIA YOYOTE"...OMBI LA MDAU WETU
Monday, August 5, 2013 by Unknown

Dunia ina mengi....Dawa ya tatizo ni kukubaliana nalo.
Huyu ni jamaa mwenye jinsia mbili na kwa mujibu wa maelezo yake anadai kuwa jinsia zote mbili ziko poa (Active)..
Kinachofurahisha zaidi ni kwamba jamaa kakubaliana na tatizo...Haoni kama ni shida na anaisha maisha ya kawaida kabisa...Cha kufurahisha zaidi ni kwamba, jamaa katangaza kusaka mchumba wa jinsia yoyote..
Kama upo tayari, basi funguka kabla hujawahiwa na wenzako.

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “"NINA JINSIA MBILI, NATAFUTA MPENZI WA JINSIA YOYOTE"...OMBI LA MDAU WETU ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.