Monday, September 23, 2013

PICHA ZA SERENGETI FIESTA YAANDIKA HISTORIA SHINYANGA





Show ndio kwanza imeanza hapa kwenye uwanja wa Kambarage 87.5 Shinyanga mtu wangu ambapo wakali kama Ney wa Mitego, Juma Nature, Linah, Stamina, Young Killer, Dudubaya, Godzilla, Nikki wa II, Joh Makini na G Nako ni baadhi tu ya watakaoonekana kwenye stage usiku huu hapa Shy Town.

Tags:

0 Responses to “PICHA ZA SERENGETI FIESTA YAANDIKA HISTORIA SHINYANGA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI