Sunday, February 23, 2014

AGNESS MASOGANGE AWAPAGAWISHA WAKAZI WA DODOMA KWA MAUNO YAKE-DOLA ZAMWAGWA




Agness masogange alikuwa kivutio kikubwa pale walipokuwa wakicheza kwenye uzinduzi wa Pub Moja huko Mjini Dodoma..Mapendeshee wa huko walimwaga dola kama njugu kufurahia alichokuwa anafanya Agness Jukwaani kwa kukata Mauno..

Tags:

0 Responses to “AGNESS MASOGANGE AWAPAGAWISHA WAKAZI WA DODOMA KWA MAUNO YAKE-DOLA ZAMWAGWA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI