Friday, February 21, 2014

HABARI MBAYA KWA WAPENZI WA MIELEKA, HUYU NDO MWANAMIELEKA ALIYEFARIKI SIKU YA JANA KWA UGONJWA WA MOYO


Hii itakua ni habari mbaya kwa wapenzi wa mieleka duniani kote, kwani mmoja wa wanamieleka maarufu kama Big Daddy V amefariki. Taarifa za awali zilizotolewa na uongozi wa WWE zinasema kua Big Daddy amefariki chanzo kikiwa ni ugonjwa wa Moyo.

Tangu Big Daddy amejingiza katika mchezo wa mieleka amewahi kushika mataji mengi kama World Tag Team Champion, Hardcore Champion na 1995 King of the Ring. Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi






SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

Tags:

0 Responses to “HABARI MBAYA KWA WAPENZI WA MIELEKA, HUYU NDO MWANAMIELEKA ALIYEFARIKI SIKU YA JANA KWA UGONJWA WA MOYO”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI