Friday, February 21, 2014

MASANJA, KIWEWE, JOTI, MC PILIPILI NA WACHEKESHAJI WENGINE NI LINI MTABADILIKA NA KUA KAMA HUYU JAMAA?? CHEKI ALIVYOJAZA UKUMBI HUKO UINGEREZA




Hii ni show aliyofanya msanii Basket Mouth kutoka Nigeria, jamaa ni mkali sana wakuchekesha. Tiketi zilianza kuuzwa wiki moja kabla na zilishambuliwa kama utituli. Maajabu ya show hii ni kua mwanzo ilitarajiwa kua show hiyo ingezuliwa na wanigeria tu lakini siku ya show walijichanganya hadi wasio wanigeria.


Team nzima ya Bongoclan ikajiuliza je wachekeshaji wa Bongo wanashindwa kufanya kama jamaa huyu??? Kwa Bongo sijawahi kusikia kwamba Masanja, Joti, Kiwewe na wachekeshaji wengine wameandaa show Mlimani City au sehemu yoyote ile na wakatoza pesa jambo ambalo linaweza kuwapatia mshiko mrefu. Namalizia kwa kuwapaushauri wachekeshaji wengine kua WAKAMATE FURSA.








SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

Tags:

0 Responses to “MASANJA, KIWEWE, JOTI, MC PILIPILI NA WACHEKESHAJI WENGINE NI LINI MTABADILIKA NA KUA KAMA HUYU JAMAA?? CHEKI ALIVYOJAZA UKUMBI HUKO UINGEREZA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI