Home » Unlabelled » KAMA ULIKUA HUJUI BASI HIKI NDO KIJIJI ALICHOZALIWA SHILOLE, CHEKI PICHA HAPA ZA SHILOLE ALIVYOENDA IGUNGA
Friday, February 21, 2014
KAMA ULIKUA HUJUI BASI HIKI NDO KIJIJI ALICHOZALIWA SHILOLE, CHEKI PICHA HAPA ZA SHILOLE ALIVYOENDA IGUNGA
Friday, February 21, 2014 by Unknown
Wiki iliyoisha kupitia website hii tulipost habari kumhusu Shilole kwenda kumtembelea mama yake mzazi huko Igunga ambako pia alikua na show. Kama hukuicheki video ya shilole akiongea na mama yake basi bofya >>hapa<<
Wiki hii tumefanikiwa kuta picha 3 za mwanadada huyo akiwa Igunga ambapo umati mkubwa wa watu ulikuepo nyumbani kwa kina Shilole kumuona. Katika safari hiyo Shilole alisindikizwa na msanii mwenzake Madee.
Timu nzima ya Bongoclan inapenda kumpongeza Shilole kwa alichokifanya kwani kuna baadhi ya wasanii hawapendi watu wajue walipotokea au hali ya maisha ya familia zao
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Tags:

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 Responses to “KAMA ULIKUA HUJUI BASI HIKI NDO KIJIJI ALICHOZALIWA SHILOLE, CHEKI PICHA HAPA ZA SHILOLE ALIVYOENDA IGUNGA”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.