Thursday, February 20, 2014

HILI BUNGE LA KATIBA LIMEJAA WAHUNI NA WASHENZI SIJAWAHI KUONA TOKA TUPATE UHURU



Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni.

Nasema hivi wambieni kabsa nimesema hili ni bunge la kihuni limechaguliwa kihuni ndio maana unakutana na mambo ya kishenzi mnayoendelea kuyaona.

Nasema tangia uhuru sijapata kuona bunge la kihuni kama hili.

Sitoshangaa maamuzi ya kihuni na kishenzi kutokea siku tunaagana pale nje.

Huyo ni rev. Christopher Mtikila.

Source: BBC swahili

Tags:

0 Responses to “HILI BUNGE LA KATIBA LIMEJAA WAHUNI NA WASHENZI SIJAWAHI KUONA TOKA TUPATE UHURU”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI