Thursday, February 20, 2014

PAUL MAKONDA “NAUNGA MKONO ONGEZEKO LA POSHO LA BUNGE LA KATIBA”



1. Laki tatu(300,000) haitoshi, na mimi nasimamia hilo hadi iongezwe hii kazi ni ngumu. watu wamekuja na wanasheria wasaidizi ili kuwasaidia na kuwashauri.
2. Malipo ya dereva.
3. Nyumba Dodoma zimejaa sana si chini ya elfu arbaini(40,000).
4. Mafuta ya gari.
5. Mtu umeacha kazi zako nafamilia unakaa dodoma kwa miezi miwili(2).
6. Ada za shule.
7. taarifa za watoto kuumwa. nk.
kwa kweli wakitaka watu watulize mawazo yao kwenye katiba waongezepesa kidogo, watu wasiwe waoga na nalisema wazi.

Tags:

0 Responses to “PAUL MAKONDA “NAUNGA MKONO ONGEZEKO LA POSHO LA BUNGE LA KATIBA””

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI