Saturday, February 22, 2014
RAY NA MPENZI WAKE CHUCHU HANS WAMMWAGIA CHOKY PESA ZA KUTOSHA
Saturday, February 22, 2014 by Unknown
Chuchu Hans na Vincent Kigosi ‘Ray’ katika pozi.
WAPENDANAO, Chuchu Hans na Vincent Kigosi ‘Ray’ waligeuka mapedeshee kwa muda baada ya kummwagia fedha za kutosha, Mkuruguenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Choky.
Tukio hilo lililoteka hisia za mashabiki wa bendi hiyo lilitokea juzikati katika Ukumbi wa Meeda, Dar ambapo Ray aliyekuwa ameambatana na ubavu wake huo, walionekana ukumbini humo wakipata vinywaji, baadaye muda ulivyozidi kwenda, wakanogewa na rhumba la Choky na kuanza kutunza. “Mh! Leo mtu na mtuwe wamegeuka mapedeshee, wanamwaga minoti ya kufa mtu, hata hazihesabiki…hatari,” alisikika shabiki mmoja aliyeshuhudia tukio hilo
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Tags:

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “RAY NA MPENZI WAKE CHUCHU HANS WAMMWAGIA CHOKY PESA ZA KUTOSHA”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.