Sunday, February 23, 2014

TUKIO KATIKA PICHA AJALI MBAYA YATOKEA MIKESE MOROGORO LEO ASUBUHI



Ankle habari. Leo asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, tumekutana na na ajali mbaya sana ya magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni dereva wa magari hayo kateketea kabisa kwa moto. Picha na Mdau Sixmund


Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketea

Ads not by this site
Mlipuko mkubwa wakati matenki ya mafuta yakilipuka
Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima moto huo

Kwa hisani ya Michuzi media Group

Tags:

0 Responses to “TUKIO KATIKA PICHA AJALI MBAYA YATOKEA MIKESE MOROGORO LEO ASUBUHI”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI