Wednesday, February 26, 2014

RIHANNA NA DRAKE SI SIRI TENA WENYEWE WAJIACHIA BILA WOGA



Drake alikuwa Paris kwa ajili yashow lakini mapaparazi wamejua kwamba Rihanna na Drake walikuwa wana-hang out pamoja weekend iliyopita sehemu mbalimbali na kupata dinner kwenye mgahawa maarufu wa L’Avenue.
Unaambiwa pia Rihanna baada kujiachia weekend yote na Drake hakuwa nyuma kwenda kushuhudia show ya Drake usiku huo.
Baada ya show wote wawili waliambatana kwenye night club na mapaparazi wanasema baada ya kujiachia usiku huo wote pamoja waliondoka kwenda Hyatt hotel ambapo Drake ndipo alipofikia.

Tags:

0 Responses to “RIHANNA NA DRAKE SI SIRI TENA WENYEWE WAJIACHIA BILA WOGA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI