Sunday, March 23, 2014

WEWE UNASEMAJE HAPA: KUPIGANA PICHA ZA UCHI KWA WAPENZI NI SAWA..?

jionee hawa akili maji, mapenz gani haya kuringishia au kujiaibisha??


 
Siku hizi imekuwa ni swala la kawaida kukuta picha za uchi za wapenzi kwenye simu zao. ila tu balaa linakuja kutokea pale simu ile inapopotea. unakuta mtu analia kweli kweli kumbe analia kwa mengi sio kwamba tu eti kwasababu simu yake imepotea, kumbe ni kwasababu ya balaa lililo kuwepo kwenye simu hiyo. Chunga sana Kijana Picha za uch Nomaa..!!!


Tags:

0 Responses to “WEWE UNASEMAJE HAPA: KUPIGANA PICHA ZA UCHI KWA WAPENZI NI SAWA..?”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI