Sunday, July 7, 2013

Mke wa Mchungaji wa Kimataifa Avaa Nusu Uchi.







Meagan Monique Goods, ndio jina lake na ni mke wa Pastor Devon Franklin wa KANISA LA WASABATO.
Kituko hicho cha kuvaa nusu uchi aliifanya jumapili iliyopita alipoenda katika tuzo za BET.
Cha kushangaza,alijua fika kwamba nguo alovaa haifai hasa kwa mke wa Postor kama yeye
anayeheshimika na watu wengi na hata anapotoka kwake hakuona aibu yoyote kuvaa nguo kama hiyo na pia hakuvaa sindiria kuzuia matiti yake na cha ajabu aliyaacha wazi ili kila moja 
hajionee mwenyewe.


Hii sio mara ya kwanza kwa mke wa mchungaji kuvaa hivyo na kamwe hataki kubadilika.





Jee ni sahihi kwa mke wa mchungaji kuvaa hivi mbele ya watu?

Tags: ,

0 Responses to “Mke wa Mchungaji wa Kimataifa Avaa Nusu Uchi. ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI